muongozo
karibu kwa FLM DESIGNER,upate logo bora ya kisasa
1•MUONGOZO
•Bei ni Elfu 10000,Malipo Hufanyika mda mchache ,ndani ya masaa 2 baada ya kuiona logo yako .NB ,ucheleweshaji wa malipo bila sababu logo Itafutwa
•Kama Upo tayari Andika neno,YES
2•MAHITAJI YA LOGO
NIANDIKIE VITU VIFUATAVYO..
•Jina la biashara ?
•Rangi za Logo yako?
•Icon (kielelezo cha picha ) ?
•Nyongeza kwenye kama ipo?
Comments
Post a Comment