FAHAMU KUHUSU MKOA WA NJOMBE
~Je unajua ndio mkoa unaiongoza kwa baridi kali mno .
~ndio mkoa pekea ambao barafu huanguka katika viunga mbalimbali hasa kwenye mito kuanzaia mwezi 6-9kila mwaka
~Lakini maajabu ya hiyo barafu bwana,ikituwa kwenye mto au kisima maji hufuka moshi mithili ya moto unatoa moshi wa kuni lakini nje ya mto huwa ni baridi
~Hizo miezi ya baridi kama huna blacket lazima ukanunue na tena mablacketi zaidi 1😀
~Ndio mkoa unaongoza kwa kulima viazi mviringo A.K.A chips..na vinafaida kama ukihudumia vizuri
~kuna vijimito vingi mno,na mabonde mengi ya vyanzo vya maji
~Ndio mkoa unaoongoza kwa kulima parachichi za kisasa ...A.K.A hasi.
~kuna misitu mingi sana iliyopandwa kwa mistari kama vile ..paina ,mikaratusi kwa ajili ya mbao na miwati kwa ajili ya kutengenezea lami ..Tanwati
~sema makambako kuna upepo mkali sana du.
~Je unaijua mbuga ya kitulo makete ambako kuna ndege huwa wanasafili bara hadi bara hasa Australia
~uoto uliopo njombe ni wa kipekee na mikoa michache ndio unaweza patikana japo kwa ufinyu sana...Iringa,manyara,mbeya,moshi ,kilimanjaro,Arusha..NB ni kwa sababu hiyo mikoa ina kabaridi kiasi
~kuna aina mbalimbali za viazi mviringo kam,,kadinya,seipi,redi,sangita,asante n.k
~Hii barafu ikitua inaweza unguza ,nyasi hata mazao.
ltsmemwa.blogspot.com

Comments
Post a Comment